AMANI NA UPENDO.
ndio habari toka MOROGORO na Ndio zawadi yenu toka kwetu AFANDE SELE & KOBA tukiwakilisha Family kubwa ya WATUPORI TANZANIA, kwa ajili ya funga mwaka 2012 na Kuupokea 2013.
Tupia email yako hapo utumiwe fasta.
PEACE & LOVE
NA KUUSIKILIZA WIMBO HUO CLICK HAPA CHINI
track:AMANI NA UPENDO
artist:KING SELE f't MC KOBA
crew: WATUPORI.
Studio: DIGITAL VIBE (MORO)
..Tungeungana na kuwa taifa moja afrika toka enzi zile/
Leo tungezifunika kiuchumi nchi nyingi za mbelembele/
Sasa tupo kama mbumbumbu/ waafrika kama Manyumbu
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!