NEWS! Tetemeko latokea Costa rica

Hali ya hatari yatangazwa nchini costa rica kufuatia tetemeko kubwa lenye uwezo wa 7.6 lilitokea mapema leo (jumatano sep 05) na kusababisha hasara katika baadhi ya maeneo,nchini humo.

Tetemeko hilo limesababisha kukatika kwa umeme katikabaadhi ya maeneno na maji kuhama katika mito na kuhatarisha maisha ya watu.HILO NI TETEMEKO KUBWA ZAIDI KUTOKEA NCHINI HUMO TOKA LILE LA MWAKA 1991 LILILOSABABISHA VIFO VYA WATU 47
(zaidi tembelea http://www.reuters.com/article/2012/09/05/costarica-quake-idUSL2E8K56OC20120905)

Comments