Katika kile inachoonekana kama kwamba kufuata nyayo za Beyonce,Amber ross ambaye ni mchumba wa mwana hip hop Wizzy Khalifa amethibitisha kuwa yeye ni mjamzito katika tuzo za MTV Video 2012.Akiambatana na Wizzy Khalifa,Amber ross hakusita kuacha mapaparazi wafanye kazi yao na kumpiga picha mbali mbali akionesha tumbo lake.ahahhahaha HONGERENI SANA WAZAZI WATARAJIWA
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!