Michael Alfred Mwasote,NDIO JINA LAKE HALISI.Lakini wengi wanamfahamu kwa jina la malfred,ni msanii wa bongo freva ambaye anafanya vizuri kwa sasa hapa East Africa.Malfred alianza kujulikana kupitia mashindano ya kutafuta vipaji ya bongo star search mwaka 2008 na kuweza kuchika nafasi ya 6 kati ya wale kumi waliongia fainali.
"Nilipenda sana siku moja niwe msanii ninayekubalika katika jamiii,na sikujua nianzie wapi lakini niliendelea kumtafutamtu ambaye atafanisha malengo yangu.nashukuru mungu marafiki zangu walipo nishauri niingie bss kwani waliona nina kipaji na ninaweza hivo niliwasikiliza." Anasema
Pia andai kuwa kiukweli hatakuja kuisahau bss kwani ndio taa iliyomtoa katika giza nakumpa mwangaza.kwa sasa marlfred anatesa na wimbo,poyoyo
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!