KARIBUNI TENA KATIKA KONA YETU YA KUTAFUTA MARAFIKI NA WAPENZI!! NA PIA NAWATAKIENI SIKUKUU NJEMA YA IDDI!!! UNAWEZA PIA KUANDIKA UJUMBE WOWOTE MZURI UNAOHUSU SIKUKUU HIYO HUKU UKUWASALIMU WATU WAKO WATATU KWA KUTUMIA NAMBA YETU ILE ILE 0719 698 698 NAMI NITAIWEKA HEWANI SMS YAKO.
Naitwa Mussa wa dar,natafuta girlfriend kati ya miaka 18-21,tuwasiliane kwenye namba 0717 40 34 25
hellow girls,im Young Master from Dar.natafuta rafiki wa kike maji ya kunde awe mkristo,akibeep atapigiwa,sms zitajibiwa.namba yangu ni 0716 22 00 60.awe na umri kuanzia 18-21 umri wangu ni 23,nakusubiri wewe malkia wangu peace n love
Hemmed Hemmed,natafuta mpenzi,namba zangu ni 065422 82 78,nipo Dar
My name Mgalla erick fnd at mby,Tz natafuta rafiki.0717 08 71 26
Naitwa Amani nipoRukwa,natafuta marafiki wa kuchati nao namba ni 0764 14 41 50
KWA LEO SMS NILIZOPATA NDIO HIZO ILA USISAHAU KUANDIKA UJUMBE MZURI WA IDDI NA ITACHAPISHWA HAPA KESHO!!
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!