Jackie chan azushiwa kifo

Mcheza filam wa muda mrefu nchini china,Jackie chan (56) amezushiwa kifo baada ya mtandao mmoja unosemekana ni wa watu wabaya kutuma ripoti hiyo katika mitandao ya kijamii kama vile tweeter na  fb ukieezea kuwa msanii huyo amekufa kutokana na matatizo ya moyo.

Habari hiyo imekuwa gumzo sana leo katika mitandao hasa ya tweeter na google.lakini taarifa kamili ni kuwa habari hiyo ni fake

Comments