WANACHI NAIGERIA WATAKIWA KUPANGA UZAZI

Raisi wa nchi ya nigeria Goodluck Jonathan amesema wanamchi wake wana watoto wengi sana kiasi kwamba wanashindwa kuahudumia,Hivyo kuwataka kuwa na idadi ya watoto ambao wataweza kuwahudumia na kukdhi mahitaji yao muhimu.

Kwa mujibu wa umoja wa mataifa (UN) Wamekadiria kuwa nchi hiyo inaweza kufikia idadi ya watu milioni 160 hadi 400 kufikia mwaka 2050

Raisi huyo ametoa agizo kwa vyombo vinavyohusika kutoa taarifa kwa wananchi juu ya taarifa hiyo kabla hatua zaidi haizachukuliwa.


Comments