PAMOJA NAKUPIGA MKWANJA MREFU KUPITIA MUZIKI,MASTER P AMEJITOKEZA HADHARANI NA KUSEMA KWA SASA NDOTO ZAKE ZOTE NI KUWA KOCHA WA TIMU YA MPIRA WA KIKAPU WA NBA,
Hayo ameyasema kupitia mtandao wa youtube.com akiwa na Raquel Harper. Master p ambaye amekuwa katika gemu la muziki kwa kipindi kirefu kabla hajaelekeza nguvu zake katika mpira wa kikapu ni Baba wa msanii mwingine wa muziki wa hip hop na rnb aitwaye Romeo.