YULE TAJIRI MAARUFU WILAYANI MBINGA Mzee MENAS MBUNDA AU MAARUFU KAMA ANDOYA ALIYEFARIKI DUNIA JUZI AMEZIKWA SIKU YA LEO NA MAELFU KWA MAELFU YA WANANCHI WA MBINGA.HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA TUKIO HILO
MAENEO YA NYUMBANI KWA MAREHEMU |
MSAFARA KUELEKEA KANISANI |
POLISI KWA AJLI YA USALAMA NA ULINZI |
DEREVA BODABODA NAO HAWAKUWA NYUMA |
WALIOSHIKA MSALABA NI WATOTO WA MAREHEMU |
WA KWANZA,WA PILI NA WATATU NI WATOTO WA MAREHEMU MZEE ANDOYA |