VUNJA MBAVU KWA VICHEKESHO VIKALI!!!

jamaa kashtakiwa kwa kosa la kumpiga mke wake
hakimu: kwanini ulimpiga mke wako na stuli?
jamaa: kwasababu nilishindwa kunyanyua meza...

Mtoto:et kwani we n babaangu?
Baba:ndio,kwann umeulza hvyo?
Mtoto:kwan babaangu c analala na mama?
Baba:ndio
mtoto:mbona mnanichanganya?kwa hyo babaangu ni wewe,ba fatu,ba eliza,ba asha,ba esta au ba jack?
Baba:....@€{~&¥**??!

Jamaa walienda kuomba kazi kwenye ofisi ya Professor, jamaa hao ambao walikuwa wakisaidiana walikubaliana aingie mmoja ambaye yuko vizuri kichwani ili akitoka ammezeshe mwenzie maswali ya interview.
Kwakuwa muda ulikuwa mdogo sana jamaa walishagundua kuwa maswali yalikuwa yakijirudia basi yule jamaa aliyeingia wa kwanza alipotoka akaamua kummezesha mwenzie majibu tu.

SWALI LA 1 BY PROF: WHEN WAS TANZANIA INDEPENDENCE?
JIBU LA JAMAA BRIGHT: IT WAS SUPPOSED TO BE 1960 BUT IT WAS POSTPONED TO 1961 DUE TO MANY REASONS.

SWALI LA 2 BY PROF: WHO BROUGHT INDEPENDENCE?
JIBU LA JAMAA BRIGHT: SO MANY PARTICIPATED BUT IT WAS MWALIMU NYERERE AND KAWAWA WHO FINALISED.

SWALI LA 3 BY PROF: IT IS BELIEVED THAT IN MARS THERE ARE LIVING THINGS,DO YOU BELIEVE?
JIBU LA JAMAA BRIGHT: SOME SAY YES,SOME SAY NO BUT SCIENTISTS ARE STILL INVESTIGETING.

Sasa alipoingia yule kijana ambaye uwezo wake haukuwa mzuri na kwakuwa alikuwa amekariri majibu tu ilikuwa ni patashika humo ndani ya chumba cha interview.

SWALI LA 1 BY PROF: WHEN WERE YOU BORN?
JIBU LA MJINGA: IT WAS SUPPOSED TO BE 1960 BUT IT WAS POSTPONED TO 1961.

SWALI LA PROF: WHAT?!!!!!!!!!!! WHO IS YOUR FATHER BY THE WAY.
JIBU LA MJINGA: SO MANY PARTICIPATED BUT IT WAS MWALIMU NYERERE AND KAWAWA WHO FINALISED IT.

SWALI LA 3 BY PROF: OHHHHHH MY GOD! ARE YOU CRAZY?
JIBU LA MJINGA: SOME SAY YES,SOME SAY NO BUT SCIENTISTS ARE STILL INVESTIGETING.