"MLEVI mmoja alioa mke. Mkewe alikuwa hajatulia hata kidogo. Siku moja
mkewe akiwa anajivinjari na msela, MLEVI akarudi home ghafla. mkewe
akamwambia yule msela Usiondoke, lala hivo hivo mume wangu mlevi
hatagundua.......Msela akalala kweli........basi mlevi akapanda
kitandani wote watatu wakalala..... Baada ya muda kidogo mlevi
akagutuka, akagundua utofauti hapo kitandani, akahesabu miguu na kuona
ipo sita, akamshtua mkewe,....."mke wangu,mbona miguu ipo sita nani
kalala hapa??".... Mkewe akamjibu kwa ukali,.toka hapa na pombe
zako,miguu sita itoke wap hebu shuka kitandani uhesabu vizuri..! Mlevi
akashuka, akahesabu.. MOJA..MBILI..TATU..NNE....AHAA KUMBE KWELI
NILIKOSEA KUHESABU,SAMAHAN MKE WANGU!!!