KATIKA MOJA YA AKAUNTI ZAKE ZA KIJAMII MSANII VICENT KIGOSI AKA RAY ALITUPIA PICHA ZINAMUONESHA AKIWA KATIKA MUONEKANO MWINGINE KABISA IKIWA NI PAMOJA NA KUNYOA NA KUCHORA TATOOO KITENDO KILICHOPOKELEWA TOFAUTI KABISA NA FANS WAKE KWA KILE WANACHODAI KUWA AMEJIHARIBU TU!! BORA ANGEBAKI NA MUONEKANO WAKE ULIOZOELEKA