DIAMOND AKIOSHA VYOMBO STUDIO KWA BOB JUNIOR (PICHA)


KAMA WEEWE NI MFUATILIAJI WA MUZIKI WA BONGO FLAVA BASI NADHANI UTAKUWA UNJUA KINACHOENDELEA KATI YA MWANAMUZIKI DIAMONDI NA MWANAMUZIKI S-KIDE AMBAYE ALIJITAMBULISHA KAMA NI MDOGO WAKE DIAMOND...LAKINI DIAMOND AMEMGEUKA NA ANADAI AHA KUMBUKI KABISA,,,,SO KWA HASIRA AKAMTUNGIA WIMBO AMBAO UNAELEZEA MAISHA YA MTU ANAYEITWA DIAMOND.NDANI YA WIMBO HUYO KUNA MSTARI UNAOSEMA........KABLA HATOKA ...DIAMOND!!!.....NIKIKUMBUKA NACHOKA.......DIAMOND....KAOSHA SANA VYOMBO STUDIO KWA BOB JUNIOR!!!

NA UKIFUATILIA KATIKA VIDEO YA WIMBO HUO KUNA HIKI KIPANDE AMBACHO KIMEVUTA HISIA ZA WATU WENGI....HAHAHAHAH HEBU FUATILIA MWENYEWE