SASA UNAWEZA KUCHAT LIVE NA MARAFIKI ZAKO KUPITIA MTANDAO HUU..SOMA HAPA

MWANDISHI WA MTANDAO HUU,,DEEJAY NAS (NASMILE)

WAPENZI WASOMAJI WA MTANDAO WA NASMILETZ KUTOKANA NA MAONI YENU YA KUWEKA CHATROOM KATIKA PAGE HII,SASA NIMEFANIKISHA NA NATEGEMEA KILA MTU ATAFURAHIA KUWEPO KWA CHATROOM ITAKAYOKUWEZESHA KUCHATI  NA MARAFIKI AU WASOMAJI WENGINE WALIOPO ONLINE KWA MUDA HUO NDANI YA MTANDAO HUU,ILI KUCHATI NA WENZAKO INGIA SEHEMU ILIYOANDIKWA  NASMILETZ CHATROOM KATIKA LIST YA PAGE ZETU PALE JUU KABISA.KISHA NDANI UTAKUTA KUNA CHATBOX AMBAYO INA VIBOX VITATU

BOX LA KWANZA
NI LA MSTATIRI NI KUBWA KULIKO MABOX YOTE,HAPO NDIO UBAO WA CHATTING ZOTE ZITAKAZOKUWA KUWA ZINAENDELEA 

BOX LA PILI
NI LA MSTATIRI PIA ILA NI JEMBAMBA SANA NA NA NI LEFU KUSHUKA CHINI...HAPO NI SEHEMU YA KUANDIKA JINA LAKO,USERNAME YAKO,,,HIVYO CLICK HILO JINA UNALOLIONA KISHA ITAFIKA SEHEMU YA KUJAZA JINA LAKO...ANDIKA JINA LAKO KISHA ENTER


BOX LA TATU NDILO LA KUANDIKA UJUMBE WAKO KISHA BOFYA ALAMA INAYOFUATA BAADA YA KIBOX HICHO...AU BONYEZA INTER KWENYE KEYBOD YAKO...TCHAOOOOO