MWANADADA MACHACHARI KATIKA MUZIKI WA BONGO FLAVA AMEUSHANGAZA UMMA NA MASHABIKI WAKE KUTOKANA NA VIDEO YAKE KUTAZAMWA NA WATU WENGI KWA MUDA MCHACHE TANGU ILIPOWEKWA YOUTUBE.VIDOE HIYO AMBAYO INAMUONESHA BADAHA AKIWA NA TATTOO ZA KIZOMBIZOMBI IMEKUWA GUMZO KWA MASHABIKI WAKE HUKU WENGINE WAKIIHUSIHSA VIDEO HIYO NA FREE MASON KWA KUHOJI MAANA YA ZILE TATTOO ALIZOTUPIA MDADA HUYO......DAH BABY MADAHA ATATAFUTWA NA KUHOJIWA ILI AFUNGUKE ZAIDI...STAY WITH US RAZAMA HIYO VIDEO HAPO