AMEZALIWA NA KUKULIA NAIROBI NCHINI KENYA, Jane Mukami NI MMOJA KATI YA WANAWAKE WAREMBO WANONYANYUA VYUMA AMBAYE KWA SASA ANAISHI ANTLANTA...
JANE AMESHAWAHI KUCHUKUA UBINGWA KATIKA MASHINDANO YA KUNYANYUA BYUMA (BODY BUILDER)HUKO South Carolina, 2011,KATIKA NAFASI YA PILI,NA HUKO marathon MWAKA 2009 AMBAKO ALIKUWA WA KWANZA,