KUTANA NA VIDEO QUEEN MAARUFU WA KENYA (PHOTOS)

KAMA NI MTAZAMAJI MZURI WA VIDEO ZA KENYA NADHANI SURA HII SIO NGENI SANA KWAKO,ANAITWA  VERA SIKIDA.NI MREMBO MWENYE SWAGA SANA HASA LINAPOFIKA SUALA LA KUUZA SURA KATIKA VIDEO ZA MASTAA KADHA WAKENYA.KWA KIFUPI HUYU NI KAMA AGNES MASOGANGE WA HAPA BONGO...SO CHUKUA TIME YAKO KUZICHEKI HIZI SNAP CHACHE AMBAZO AMETOKELEZEA ILE MBAYA!!!