CHEMSHA UBONGO WAKO HAPA,KISHA WEKA JIBU LAKO KWENYE COMMENT BOX

 
Kuna dada mmoja ali chumbiwa na watu wa nne.
1. Msanii
2.Mvuvi
3.Mwindaji
4. Dactari
Lakini uyo dada alibaki na utata katika kuchagua mume.
Siku moja dada uyo alienda mtoni kufua, ghafla akatokea Mamba akambeba na kuzamanae majini, pale pale akatokea Msanii akatunga wimbo na kuanza kuimwimbia Mamba, Mamba akatokeza juu ya maji, pale pale Mwindaji akatokea na kumpigiga risasi Mamba akafa. Yule dada akabaki kwenye maji anatapa tapa, pale pale akatokea Mvuvu, akaogelea kwenda kumuokoa mpaka akamleta kwenye nchi kavu. Hapo hapo akatokea Dacktari na kumtibu majeraha aliyo pata mpaka Akapona.
Swali linakuja je? Ni nani anaye stahili kumuoa kati ya watu hao wanne?....

Tuma jibu lako nione upeo wako wa kufikili.