JESSICA SIMPSON KUPATA MTOTO WA KIUME

Mwanamuziki Jessica Simpson(32)  anategemea kupata wa kiume hivi karibuni baada ya ripoti ya madokta waliokuwa wanampima kumtonyaAlipoulizwa na madokta kama angependa kufahamu jinsia ya mtoto atakayezaliwa,Jessica alijibu "ndiyo" na madaktari walipomwambia kwamba kitoto kilichopo tumboni mwake ni ch kiume,mwanamuziki huyo alipiga kelele za furaha.Kama jessica atajifungua mtoto wa kiume basi atakuwa amempatia kaka mtoto wake wa kike maxiwell

Comments