SERIKALI KUJENGA DARAJA LA MTO MOMBA

Wanakijiji wa kamsamba-mlowa na kiliyamatundu mkoani dodoma wameonesha kufurahia kufuatia kutangzwa kwamba Tshs 180m zimetengwa kwa ajili ya ujenzi wa daraja la kudumu la mto momba lililopo mkoani Dodoma na hivyo kuunganisha vijiji hivo viwili.

Comments