JUMA NATURE@NDANI YA MBINGA LEO HII


MSANII MWENYE NYOTA YA KUPENDWA NA WATU WENGI SANA HAPA EAST AFRICA AMBYE PIA NI MKONGWE SANA KATIKA GEMU HILI LA BONGO JUMA KASSIM NATURE  LEO USIKU ANATARAJIA KUWARUSHA WAKAZI WA MBINGA KUANZIA MILANGO YA SAA 2 USIKU PALE KATIKA CLUB PARADISE.NATURE PIA AMEAMBATANA NA DORO PAMOJA NA WASANII WENGINE WANAUNDA KUNDI LA HALISI.KIINGILIO KATIKA SHOW NI TSHs 5000/= TU

Comments