MWANAMUZIKI G LUCK KUFANYA KAZI NA C9

g luck
AKIWA ANAWAKILISHA KUTOKA MKOANI RUVUMA KATIKA MANISPAA YA SONGEA,LEO NAKULETEA MSANII KUTOKA KATIKA KUNDI LA GCB ANAYEFAHAMIKA KWA JINA LA G-LUCK.AMBAYE ANATESA NA NGOMA YAKE YA "MOVIE YA KANUMBA"

NAJUA UTAPENDA KUJUA MENGI KUMUHUSU MWANA RNB HUYU MWENYE SAUTI  TAMU BASI WIKI LEO HII UTAYAJUA YOTE

SAFARI YAKE YA MUZIKI IPOJE?
KUHUSU SWALI HILO G LUCK  ANASEMA HIVI "nilianza mziki mwaka 2004 hapa songea na ngoma yangu ya kwanza kuirekopi wakati huo ilikuwa inafahamika kwa jina la ngomayangu ya kwanza inaitwa nakonda,na baada ya hapo nikatulia kidogo kabla sijaachia track ya pili iliyofahamika kwa jina queen.hizo zote ilikuw ni mwaka 2004.

G LUCK PIA KAMA WALIVYOWASANII WENGI WA MUZIKI WA BONGO FLAVA KUFANYA KAZI NA WASANII KIBAO  KAMA VILE NEY WA MITEGO,ENDRU G,PASHA, PNC NA KADHALIKA.

Mmoja wa wanamuziki wa kundi la  gcb-cammy
"NAMSHUKURU MUNGU KWANI AMENIWEZESHA KUFIKIA HAPA NILIPO NA KWANI NIMEFANYA KAZI KWA KUSHIRIKIANA NA WASANII TOFAUTI TOFAUTI HAPA BONGO,HIVYO NI HATUA KUBWA SANA" ANASEMA G-LUCK

VP KUHUSU KUNDI LA GCB
Ni kundi linaloundwa na vichwa vitatu ambao ni G luck,Cammy  na Bad h na wameshafanya kazi nyingi sana kama kundi namoja amabyo utakwenda kuiona leo hii hapa katika blog yetu inaitwa CATHERINE hebu itazame vifeo yake hapa



PIA MSANII G LUCK ALIENDELEA KUZITAJA NYIMBO ZAKE ZINGINE AMABZO ZILIFUATA KAMA VILE  CATHERINE,MPAKA SOO NA MOVIE YA KANUMBA (Ambayo tetesi zinasema kuwa inamlenga muigizaji lulu)



NINI KINAFUATA BAADA YA HAYO YOTE??
G LUCK AMEWATAKA MASHABIKI WAKE WAKAE MKAO WA KULA KWANI NGOMA LITAKALOFUATA LITAPIKWA NA PRODYUZA MACHACHALI  NAYEITWA C9.KWA HIYO HIYO NDIO FUNGA KAZI NA PIA AMESEMA NI ZAWADI KWA MASHABIKI WAKE WOTE WA SONGEA NA TANZANIA KWA UJUMLA.
"kwasasa nimewacliana na producer c9,wikiijayo ntakua nagonga ngoma mpya" ALIONGEZA G LUCK

Comments