BOBBI KRISTINA KURITHI MALI ZOTE ZA WHITNEY HOUSTON

MTOTO WA MAREHEMU WHITNEY HOUSTON,BOBBI KRISTINA AMETTAJWA KURITHI MALI ZA MAMA YAKE MAREHEMU HOUSTON KAMA ILIVYOANDIKWA KATIKA URITHI.
Mali hizo ambazo ni  fedha,samani, mavazi, vito na magari, zimepangwa kufikishwa mikononi kwa kristina mara baada ya binti huyo mwenye miaka 18 kwa sasa kufikisha miaka 21,kulingana na sheria za mahakama za urithi nchini humo.
N imeelezwa kuwa kristina atapata fedha za ziada mara baada ya kufikisha miaka 25 na mali zingine zote zilizobaki atakabidhiwa atakapo fikssha miaka 30


Houston wakati anaandika urithi huo ambao mama yake mzazi Cissy, 78 ndiye aliyesimamia huku kaka yake Michael na wifi yake Donna wakiwa mashahidi amemtaja mume wake wa zamani lakini hajatajwa kurithi chochote.

Comments