FERRE GOLA NA FALLY IPUPA NDANI YA JUKWAA MOJA...WAIMBA NA KUCHEZA PAMOJA

Kwa wale wasiojua..hii miamba ishawahi kukaa jukwaa moja na wakaimba wimbo maarufu wa ferre gola uitwao 100 kilos na pia koffi olomide akawapambanisha wacheze wimbo wake wa kisanola...ona balaa lao sasa https://www.youtube.com/watch?v=cFFerY29h8A https://www.youtube.com/watch?v=SZQuCI9mBz0

Comments