Winnie Nwagi with a controversial statement on her Facebook page

Mwandada Winnie Mwagi, who is a musician from Uganda, has left her fans with a lot of questions after posting the words "I think I am in love" on her Facebook page. Winnie, who has been tormented by her "Katono katono" hit, is one of the most beautiful women in Uganda who has been gifted with an attractive figure. She has been hiding her romantic relationship in the media, but the post has brought a different picture to her fans that she has "already" loosened up. position. However, when asked by journalists, he ended up answering "hahahaha, I just wrote like other psts". 

 

 Mwandada Winnie mwagi ambaye ni mwanamuziki toka kule uganda amewaacha na maswali kibao mashabiki wake mara baada ya kupost maneno haya "I think I am in love" katika page yake ya facebook. Winnie ambaye amewahi kutesa na kibao chake cha "Katono katono" ni mmoja kati ya warembo waliojaaliwa umbo lenye mvuto nchini uganda amekuwa akificha sana mahusiano yake ya kimapenzi katika vyombo vya habari,lakini Post hiyo imeleta picha tofauti tofati kwa fans wake kuwa "tayari" amelegeza msimamo.Hata hivyo alipoulizwa na wanahabari aliishia kujibu "hahahaha,just nimeandika tu kama pst zingine".