WALICHOPOST BAADHI YA MASTAA KUHUSU KIFO CHA LANGA


Msanii wa hip hop, Langa amefariki dunia... Rest in peace bro. 9 6 6

R I P LANGA. LyRiCAL and NATURAL GIFTED AFRICAN @ kiss fm studio mwanza wit ma boy jeff jerry & the vc. ckiliza inshu mpya kutoka kwangu! srry kwa kuwa kimnya humu. 89.3 dar. 89.9 arusha, manyara na kilimanjaro. 89.4 d0d0ma na singida. 96.4 shinyanga. 89.2 iringa. 88.2 mbeya. 90.2 morogoro. 94.1 bukoba. 92.7 tanga. mungu ametoa mungu ametwaa. ibada ndo ki2 cha msingi kwa sasa
Tunavyotaka sisi, sivyo anavyotaka yeye (Mungu) mapenzi yake ni zaidi.
Mungu akupumzishe pema LANGA KILEO
 PIA TAZAMA VIDEO YAKE YA HIVI KARIBUNI KABLA YA KIFO CHAKE 


Langa amefariki dunia akiwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kulazwa jana akisumbuliwa na malaria kali Langa alipelekwa hospitali akiwa hajitambui. Anadaiwa kuwa alikumbwa na Malaria kali sana, Hali iliyopelekea kukimbizwa Hospitali ya Muhimbili jana. Uchunguzi wa chanzo cha kifo chake bado unaendelea. Msanii Langa aliwahi kutamba na kikundi cha Wakilisha pamoja na witness na sara ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa bongo flava nchini Tanzania.