WASANII WATANO WANAONG'ARA DUNIANI LAKINI WALITOKA KWENYE FAMILIA ZA KIMASKINI

Hii inaweza kuwa habari mpya kwako tena inaweza KUKUSHANGAZA.......hivi ukisikia mtu kama jay z ametokea katika familia ambayo kupata mkate wa kila siku tu ilikuwa tabuu utaamini????...but ndivyo ilivyo wapo wasanii wengi sana wanaong'ara duniani na ni matajiri hivi sasa lakini wakikumbuka walipotokea wanatoa machozi..

JAY Z
Jay-Z is the leader of a real financial empire,Lakini amekulia katika familia yenye hali duni sana kiasi kwamba kukosa mlo kwa siku ilikuwa sio jambo la ajabu. Ever since he was a child he got used to violence and to lack of money, but through ambition he managed to become one of the richest men in the world!  

JUSTIN BIEBER

Halle Berry 
is known as an Oscar-winning actress and international beauty, but she didn’t always live the high life. Early in her career, Berry moved to NYC to pursue her dream as a model and actress. Berry, while trying to find work in New York, stayed in a homeless shelter. At the age of 21, this star never gave up and had no financial help from her parents. Now, she's a multiple award winner and an unforgettable talent! 
 
Wengine waliokulia katika mazingiara magumu ni Snoop,Mark Walhberg,Leonardo DiCaprio na  Jim Carrey na wengine ....

 

0 comments: