MANEKE,ECHA WAMUAMBUKIZA CHAFYA GODZILLA

Kama ulikuwa hujui basi nataka kukufahamisha kuwa "Chafya" ni ngoma mpya kabisa iliyopikwa na kukaangwa na mtu mzima maneck toka A&m recods ikiwa ni ya kwake kijana mdogo mwenye idea za mbali anayefahamika kwa jina la ECHA,ambaye pia ni Daktari.kwa sasa jamaa yupo kwenye michakato ya kuisambaza radio na pia kuifanyia mpango mzima wa video.na tayari ashaanza kutafuta ni kampuni gani itamfanyia kazi hiyo.Ndani ya track hiyo jamaa kampa shavu mtu mzima Godzilla kingzilla  ambaye kapasuka mbaya sana humo!!!! itakujia hivi punde hapa hpa


Comments