KATIKA KUKAMILISHA MPANGO MZIMA WA BURUDANI SIKU YA UZINDUZI WA SUPER BRAND CLUB,@SUNCITY NIGHT CLUB.MKURUGENZI WA CLUB HIYO AMESEMA KUWA AMESHAKAMILISHA MIPANGO YOTE KUHUSU KUMLETA MWANAMUZIKI MAARAFU WA BONGO FLAVA BOB JUNIOR KWA AJILI YA KUWARUSHA WAPENDA BURUDANI WOTE WA MBINGA.
SHOW HIYO ITAFANYIKA SIKU YA UZINDUZI WA NIGHT CLUB HIYO INAYOFAHAMIKA KWA JINA LA SUNCITY ILIYOPO MBINGA MJINI,PIA SAMABAMBA NA BOB JUNIOUR PIA KUTAKUWA NA BURUDANI NTYINGINE KAMA VILE DANCERS,SARAKASI NA SHINDANO LA KUMTAFUTA MTANASHATI WA MBINGA NA NA BINTI MREMBO WA MBINGA WASHINDI KUZAWADIWA.
"KWA WALE WANAOTAKA KUSHIRIKI SHINDANO HILO BASI WAFIKE SUNCITY KWA AJILI YA KUPEWA MAELEKEZO NA FOMU ZIPO TAYARI BUREE KABISA " ALISEMA DJ SLIM D CUE MMOJA WA MADEEJAY KATIKA KLABU HIYO.
KUHUSU BURUDANI NA HUDUMA ZINAZOPATIKANA NDANI YA CLUB HIYO NI PAMOJA NA HUDUMA YA DSTV HIVYO UTAWEZA KUANAGALIA MECHI NA MOVIE KILA SIKU KWA MASAA 24. PIA KUNA HUDUMA YA CHAKULA KAMA VILE MCHEMSHO YA KUKU,NG'OMBE CHIPS MISHIKAKI NA CHAMA CHOMA.WAKATI HUO HUDUMA ZA VINYWAJI AINA ZOTE ZINAPATIKANA BILA KIKOMO PANDE HIZO.KUHUSU HUDUMA YA MZIKI NI KILA SIKU ZA IJUMAA JMOS NA JPILI KUA NZIA SAA 2 USIKU!!!!

Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!