Kama unavyojua kwa sasa facebook inaruhusu watu kuanzia miaka 18 kujiunga na mtandao huo,lakini kutokana na utafiti uliofanya imegundulika kuwa watoto wengi sana wamekuwa wakiendelea kujiunga katika mtandao huo maarufu duniani na wengi wao wakiwa ni kati ya miaka 10 hadi 13.
Hivyo wahusika wa mtandao huo wapo mbioni kuwawezesha na kuwaruhusu watoto kuanzia miaka 13 kujiunga na mtandao huo..wanasema mpaka sasa karibia watoto milion 7.5 wamejiunga na mtandao huo kwa kudanganya umri wao wa kuzaliwa katika fomu inayojazwa wakati wa kujiunga na mtandao huo

Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!