Whitney kuzikwa jumamosi
Mwili wa marehemu Whitney Houston tayari umeshasafirishwa kwao Newark,
N.J., ambako mwanamuziki huyo maarufu atazikwa jumamos ijayo ya tareh 18 feb .Imeelezwa kuwa ibada ya mazishi itafanyika katika kanisa la
New Hope Baptist,amabko ndipo mwanamuziki huyo alipoanzia.
Mwili wa Houston uliwasili mapema jumatatu hii (Feb. 13) kwa ndege binafsi ianyomilikiwa na Tyler Perry.Baadae polisi walisindikiza mpaka Whigham ambako atazikwa, sehemu ambyo alizikwa baba yake mwaka 2003.
0 comments:

