NI WIMBO MZURI SANA AMBAO NAWEZA SEMA NDIO WIMBO AMBAO UMENIVUTIA ZAIDI KWA MWAKA HUU WA 2012,DIAMOND NI MSANII ANAYEKUBALIKA SANA KATIKA TASNIA YA MUZIKI WA BONGO FLAVA,HIVI KARIBUNI MSANII HUYU ALIPENDEZESHA VYOMBO VYA HABARI KWA MATUKIO YAKE MAWILI AMBAYO YALIMWEKA KATIKA WAKATI FULANI AMBAO NI MGUMU KWAKE,MOJA ILIKUWA NI ILE HABARI YA KUVUNJIKA KWA UHUSIANO WAKE NA ALIYEKUWA MPENZI WAKE WEMA SEPETU NAK KUDAIWA KUTOKA NA KIMWANA MWINGINE ANAYEFAHAMIKA KWA JINA LA JOKATE.PIA HAUKUPITA MUDA MSANII HUYU AKAPATA "MSALA" WA KUKAMATWA NA POLISI KWA KOSA LA KUMPIGA MWANDISHI WA HABARI NA KUHUKUMIWA JERA MIEZI SITA, HATA HIVYO ALILIPA FAINI BADALA LA KUTUMIKIA KIFUNGO. MWISHO WA YOTE HAPA ANAKUAMBIA LALA SALAMA, HELLLOWW LADIESSSSSSSSS!!!
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!