VIONGOZI ROYAL COLLEGE WAAPISHWA
![]() |
| mmoja wa mawaziri wa chuo hicho |
![]() |
| wanachuo wakiwa makini kufuatilia uapishwaji huo |
![]() |
| mambo yaliendelea kama hivi |
![]() |
| waziri aki show love kwa cameraman wetu |
Wanachuo wa royal college of Tanzania jana ijumaa tar 19 ag walikuwa katika katika mkutano chuoni hapo kwa ajili ya kuapishwa kwa viongozi wapya waliochaguliwa katika nafasi mbalimbali za uongozi wa serikali ya wanachuo hapo chuoni.hizi hapa ni baadhi ya picha za tukio hilo
0 comments:









