VIONGOZI ROYAL COLLEGE WAAPISHWA

mmoja wa mawaziri  wa chuo hicho

Wanachuo wa royal  college of Tanzania jana ijumaa tar 19 agost walikuwa katika katika mkutano chuoni hapo kwa ajili ya kuapishwa kwa viongozi wapya waliochaguliwa katika nafasi mbalimbali za uongozi wa serikali ya wanachuo hapo chuoni.hizi hapa ni baadhi ya picha za tukio hilo

wanachuo wakiwa makini kufuatilia uapishwaji huo

Wanachuo wa royal  college of Tanzania jana ijumaa tar 19 ag walikuwa katika katika mkutano chuoni hapo kwa ajili ya kuapishwa kwa viongozi wapya waliochaguliwa katika nafasi mbalimbali za uongozi wa serikali ya wanachuo hapo chuoni.hizi hapa ni baadhi ya picha za tukio hilo
hapa pia
mambo yaliendelea kama hivi

waziri aki show love kwa cameraman wetu

Comments