NEW
YORK (AP) - Pamoja na ndoa tatu kushindwa baina yao, Jennifer Lopez na
Marc Anthony hatimaye walionekana kupata upendo wa kweli pamoja wakati
ndoa miaka saba iliyopita,kuzaa mapacha na kucheza movie pamoja,hatimaye ijumaa ya wiki iliyopita walitangaza kuachana rasmi.
:Tumeamua kuachana japo ulikuwa uamuzi mgumu sana" hivyo ndivyo msemaji wa jlo alivyo mnukuu j lo katika mahojiano yake na waandishi wa habari.wapenzi hao ambao muda mrefu walionekana kuwa pamoja na kudhaniwa kuwa hawatakuja kutengana kabisa,yaliwakuta hayo wiki moja tu iliyopita huko kwao.
J lo kabla aliwahi kuwa na uhusiano na ben afreck wakati marck anthony nae alikuwa ameaachana na Miss Universe Dayanara Torres.daaaaaaaah

Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!