ALICIA KEYS,NYOTA INAYONG'AA MUONGO MMOJA SASA
HAKUNA ALIYEJUA KUWA BINTI HUYU ATAKUJA KUWA NYOTA ZAIDI YA Clive Davis AMBAYE NDIE ALIYEGUNDUA KIPAJI CHAKE ,KWANI KATIKA UMRI MMDOGO ALIOKUWA NAO ALIKUWA TAYARI NI MGONJWA WA KUPIGA PIANO NAKUPANGILIA SAUTI MBALIMBALI.
HII NI KAVA LA ALBUM YAKE YA KWANZA SONG ON MINO
AMBAYO ILIBEBA NYIMBO HIZI HAPA
Track List
,—-,——————————————-,——-,
| #. | Trackname | time |
|—-|——————————————-|——-|
| 01.| Piano & I | 01:51 |
| 02.| Girlfriend | 03:35 |
| 03.| How Come You Don’t Call Me | 03:58 |
| 04.| Fallin’ | 03:30 |
| 05.| Troubles | 04:29 |
| 06.| Rock Wit U | 05:37 |
| 07.| A Woman’s Worth | 05:04 |
| 08.| Jane Doe | 03:48 |
| 09.| Goodbye | 04:21 |
| 10.| The Life | 05:25 |
| 11.| Mr Man (Ft. Jimmy Cozier) | 04:10 |
| 12.| Never Felt this Way | 02:01 |
| 13.| Butterflyz | 04:09 |
| 14.| Why Do I Feel So Sad | 04:26 |
| 15.| Caged Bird | 03:02 |
| 16.| Fallin’ | 04:15 |
| | (Remix Ft. Busta Rhymes and Rampage) | |
| 17.| A Woman’s Worth (Remix) | 10:37 |
‘================================================|=======|
Total time:| 74:18 |
LAKINI SASA BINTI HUYO NI MOTO WA KUOTEA MBALI KATIKA ANGA LA MUZIKI KWANI TAYARI ASHAFANYA ALBUM ZINGINE KALI ZENYE NYIMBO TAMU AMBAZO HAZICHOSHI MASIKIO
0 comments:





