banner copy
VITUKO:AINGIA BANK NA NGURUWE ~ DVJ NASMILETZ
banner copy

Thursday, November 24, 2016

VITUKO:AINGIA BANK NA NGURUWE

Mcheza filamu maarufu nchini india Ravi Babu hivi karibuni amewaacha watu kinywa wazi baada ya picha kadhaa kuenea mtandaoni akionekana akiwa amepanga foleni bank huku mkononi akiwa amembeba nguruwe,..

Hata hivyo alipoulizwa na waandishi wa habari juu ya tukio hilo,Ravi alisema "aah unajua nilikuwa naelekea kwa mtu wa computer kwa ajili ya kudisaini vitu flani ndipo nilipogundua kuwa sikuwa na hela ya mafuta kwa muda huo,hivo nikaamua kuingia hapo Atm na kuchukua kiasi cha pesa."

Blogger news

HTML Comment Box is loading comments...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...