banner copy
BOMU LAUA WATU WAWILI NCHINI UTURUKI ~ DVJ NASMILETZ
banner copy

Thursday, November 24, 2016

BOMU LAUA WATU WAWILI NCHINI UTURUKI

 
BOMU LILILOKUWA LIMETEGWA NDANI YA GARI NJE YA OFISI YA GAVANA MMOJA NCHINI UTURUKI,LMELIPUKA NA LIMEUA WATU WAWILI NA KUJERUHI WATU 16.
GAVANA HUYO MAHMUT DEMIRTAS AMEWAAMBIA WAANDISHI,KUWA WAMEFANIKIWA KUMFAHAMU MMILIKI WA GARI HILO KUTOKANA NA NAMBA ZA GARI.NA MWANAMKE MMOJA AMEKAMATWA KUTOKANA NA TUKIO HILO.

Blogger news

HTML Comment Box is loading comments...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...