Wanasayansi wagundua mabaki ya injini ya Apollo 11

Kama uliwahi kusikia rocket kubwa ya kwanza kurushwa kwenda mwezini July 16, 1969 ilikuwa inaitwa APOLLO 11.yaap hiivi karibuni bwana Jeff Bezos amegundua moja ya injini kubwa kati ya tano ambazo zilitumika kurushia rocket hiyo mwaka 1969,iliyokutwa chni ya bahari ya Atlantic.

mabaki hayo ambayo wengi walijua yameshapotea moja kwa moja na hawakufikilia kuyaona tena wala  katika uso wa dunia hii yameonekana hivi karibuni kwa ushirikiano wa bwana  Bezos na wanachuo wa amazon nchini marekani.


"Ni msisimko na taarifa kubwa kwamba, kwa kutumia hali ya juu ya sanaa ya bahari ya kina kirefu , timu yetu imeweza kupatikana  kwa injini ya Apollo11 chini ya uso wa bahari umbli wa futi  14,000hivi., "Bezos aliandika katika taarifa iliyochapishwa na tovuti . "bado hatujui hali ya hizi injini liwe kwa kwa kuwa imekaa ndani ya maji ya chumvi kwa muda wa miaka 40 hivi 

Comments