WIMBO WA BABY JAY FEAT ALIKIBA HUU HAPA

Wimbo mpya kutoka kwa Baby J msanii wa Zenzi Fleva anayewakilisha ipasavyo kila atoapo wimbo. Hivi sasa ameamua kuja na wimbo mwingine aliupa jina la BWASHE akiwa amempa shavu brazamen alikiba!!
Usikilize halafu unipe maoni yako mwanadada amerudi vipi kwa wimbo huu mpya.mwaka huu wa 2012

Comments