BELLE 9 AACHIA WIMBO MPYA 'AMERUDI'

MSANII BELLE9 ANENDELEA KUTEKA MASHSABIKI WAKE KWA KUWAACHIA ZAWADI KUBWA KWA MWAKA HUU 2012.KWANI BAADA YA KUTESA SANA NA NGOMA ZAKE KAMA NILIPE NISEPE NA NYINGINEZO KWA MWAKA HUU ANAKUJA NA KITU INAITWA 'AMERUDI'AMBAYO NI MKONO WA PRODUZA WAKE ANAYEFAHAMIKA KWA JINA LA TRISS.NI NGOMA NZURI AMBAYO INAZUNGUMZIA MAMBO FLANI YA KUELEZANA UKWELI JAPO INAUMA,HAHAHAH HEBU FIKIRIA SIKU MOJA MPENZI WAKO ANAKUAMBIA EE BWANAAE SIKU ZOTE TULIZOKUWA PAMOJA NILISHINDWA KUKUAMBIA KUWA TAYARI NINA MPENZI MWINGINE AMBAYE ANAFAHAMIKA KWA WAZAZI NA AMESHARUDI TOKA SAFARI SO ......NIACHE NAEEEEEE. ENJOY!!!



Comments